Wekeza kwenye mitambo, uza vocha za internet. Sisi tuna-manage mfumo 24/7.
Wewe unapata 70% ya mauzo yote.
Maeneo Yanayofaa Zaidi
Kila kifurushi kinakuja na mfumo wa vocha, installation, na management ya 24/7 kutoka STALAC.
Up to 25 Users (Street Corners & Rural)
Up to 60 Users (Bus Stands & Markets)
Up to 100+ Users (Malls & Apartments)
Hii siyo "Quick Money." Mapato yako yanategemea wingi wa watu (traffic) kwenye eneo lako. Sisi tunahakikisha mtandao uko online 24/7 na mfumo wa vocha unafanya kazi vizuri. Wewe kama mwekezaji, unatoa mtaji na eneo, sisi tunatoa utaalamu.